wale wazamani inakukumbusha wapi hii?

Duuh longitime mazee alininunulia yani nilikuwa nizichukia kiama, hadi nikasingizia zimeibiwa ndo nikatafutiwa ustarabu mwengine.
 
Dining Hall
Ilikiwa tukifungua shule baada ya likizo ndefu basi nawezasema asilimia 70 ya wanafunzi shule nzima kuanzia form one hadi form six tulikuwa tunavaa DH (Dining Hall) hapo unaongezea na VIP underwears
 
Duuh longitime mazee alininunulia yani nilikuwa nizichukia kiama, hadi nikasingizia zimeibiwa ndo nikatafutiwa ustarabu mwengine.
Hivi zina tofauti gani na hizi ambazo siku hizi mnaziita "Simpo".
 
DH Dada Hujambo!
These were the days when men were young. I wish i could turn back the hands of time :frusty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…