Wale wataalam wa kazi za msimu

Wale wataalam wa kazi za msimu

serengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
488
Reaction score
362
Kampuni ya Olam Tanzania LTD tawi la Bukoba(Kagera zonal) imetangaza nafasi za kazi (operation officer) kwa ajili ya ununuzi wa zao la kahawa sifa za mwombaji ni kuanzia kidato cha sita , tuma maombi yako kwa:
BRANCH CO ORDINATOR
OLAM (T ) LTD
P.O.BOX 489,BUKOBA
ambatanisha cv, copy za vyeti na pasport size 2. au waweza peleka jengo na NSSF chumba no.301 Bukoba,:mwisho wa kupokea maombi ni 24.4.2015,kwa wale wa Bukoba sikiliza kasbante FM utasikia matangazo.
 
Mbona tangazo lako la kazi limekaa kama Tangazo la Dawa Ya Kunguni na Viroboto?
 
Kampuni ya Olam Tanzania LTD tawi la Bukoba(Kagera zonal) imetangaza nafasi za kazi (operation officer) kwa ajili ya ununuzi wa zao la kahawa sifa za mwombaji ni kuanzia kidato cha sita , tuma maombi yako kwa:
BRANCH CO ORDINATOR
OLAM (T ) LTD
P.O.BOX 489,BUKOBA
ambatanisha cv, copy za vyeti na pasport size 2. au waweza peleka jengo na NSSF chumba no.301 Bukoba,:mwisho wa kupokea maombi ni 24.4.2015,kwa wale wa Bukoba sikiliza kasbante FM utasikia matangazo.

Excellent..!!!
Hapa sasa angalau linatoa hamasa ya kutuma maombi
 
thanx
karibu sana tuma maombi yako sasa
 
Natafuta any part time job npo Chuo first year dsm, Namba yang 0684880333
 
kuna aliye kitaa ata kujitolea hapati ww unasema upo 1st dsm?
 
Natafuta any part time job npo Chuo first year dsm, Namba yang 0684880333

Never under estimate mkuu
Mambo sio rahisi kama unavyofikiria
Mtaani ni sehemu nyingine kabisa usiifanine na dream zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom