Wale wapenzi wa August Alsina

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,707
Reaction score
71,066
Wasalaaam,
August Alsina ameleta Album mpya mjini inaitwa THE THING CALLED LIFE.
Its off the hook.
PAUL sergio de souz
 
Last edited by a moderator:
mkuu weka hata nyimbo 2 au 3 kali kutoka kwenye hiyo album huyo dogo anajua balaa.
 
Yaan huyu dogo ni hataree, kitu cha numb, make it home, no love, benediction, mama ,kiss on my tattoos yaaaaan ananikosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…