wale wanaopenda kubeep beep... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wanaopenda kubeep beep...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kayla, Mar 12, 2012.

 1. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ktk kutaka kupima kina cha maji.kama mpenz wako anakupenda usifanye kama huyu shostito...alifikr atapimaje upendo wa boyfriend wake iwapo atamsms hivii..'Helo nakuomba kuanzia leo usinitafute wala kunipgia,maana x boyfrend wangu amerud toka sweden na amekuja kunioa,zaid naomba unirudshie ile picha yangu pendwa'' mpenz wake katika kutafakari nayeye amuumize vip akaenda kwa wachumba wa rafik zake na kukusanya mapicha tofauti kama pc 18 hiv,akamtumia na kumwambia ninao wachumba wengi sana hata sikukumbuki wewe ni yupi kati ya hawa'hebu tafuta picha yako then unirudshie za wenzako...hapo hakuna hata mojawapo ya picha ya huyo shosti..:A S-frusty2:
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,960
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  watoto hao...watu wazima tuna namna zetu za kubeep!!!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  wakubwa hatubeep, tunapiga tu.
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  MH mapenzi kweli kizunguzungu kah
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,543
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Lol kama nimewahi kuisoma sehemu hv!!
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  yule angemjibu tu kwa kumuuliza au nimekosea wewe ni Peter? hali akijua ni John.
   
 7. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee... hii kali
   
Loading...