Vijana badala ya kuwa mitandaoni kufuatilia siasa na akina nasibu fuatilieni na mambo ya maana kuna mtu anajiita scholarships_masomo insta uwa anapost scholarships na nimeona ametangaza kuanzisha group la kuwasaidia watu kuwapa infos pitieni it might help