aisee noma Sana.ahsante kwa taarifa mkuuWengi walihama ila Makala akaja kuwa Academic Master na Kabulunge alipigaga mwanafunzi 1 wa kike jirani na familia yangu,walikuwa wakigegedana na mwenzake mwanaume akawafumania. Kilikuwa kipondo heavy,akapelekwa police,kina Kangero wakamtoa. Akaja kuwa kimya.
Hahahahaaaa.....naskia Minja walikuja kucheza mpira Lomwe,wakasepa na msosi wa jioni wa Lomwe kule jikoni. Tehe tehe teh.....sasa hivi zote zimetulia.
mkuu tena ulikuwa mfungo wa ramadhani baada ya ugomvi tulitembeza kibano kutoka uanjani mpaka kwenye mabweni ndo watu wakala futari laaa yaani keaho yake headmaster alikuja shuleni kusueiasha yakaisha hiyo ni 1994
Vp,na ule ugomvi wa wanafunzi Shighatini na headmaster,wakarusha gari ya shule bondeni na kuchinja ng'ombe wa shule na kuhamia porini wanafunzi wote. Hiyo uliikuta? Usangi girls nao kufungiwa kwa kumbaka mlinzi je?
Haha haha mweh umenikumbusha mbal snMnamkumbuka uncle Dimbwi? Halafu kuna wale wajamaa wenye vichwa vidogo sana walikuwa wanapenda kushinda pale Lomwe mida ya msosi,mwanamme tulikuwa tunamwita Chedi(nzuri) na mwanamke jina lake halisi anaitwa Rhoda.
We dotcom nenda Shule zmefunguliwaHizi shule za mchangani nazo ni za kufunguliwa uzi humu kweli?
Jiheshimu weweHizi shule za mchangani nazo ni za kufunguliwa uzi humu kweli?
Unamaanisha nini hapo kwenye red kiongozi? Alipata ajali? Alifariki?LOMWE UDUMU MILELE............. LONG TIME AGO.... KANGERO AJALI KWASADALA....................
Lomwe ni maarufu sana kwa sababu ya Headmaster Kangero. Kielimu mpaka sasa Lomwe inatisha kielimu wilayani Mwanga. Kangero huenda akawa ni Headmaster wa kwanza hapa Tanzania kuwa kwenye shule moja kwa miaka mingi sana. Huenda ni zaidi ya miaka 30. Mpaka sasa ni Headmaster wa Lomwe. He is man of Discipline. Ni kama Ferguson na Mancheter united, au Mugabe na Zimbabwe au Seiph Blatter na Fifa. Shule zingine kama Shighatini,Minja na Kiriki zimefifia sana kielimu, huenda wakati wowote zikafungwa maana idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo ni ndogo sana. Migogoro ya kidini, ujio wa shule nyingi za kata na uongozi mbovu wa shule hizo za Shighatini, Mruma na Kiriki unapelekea kufa kwa shule hizo.