Wale walio fukuzwa na wengine kuhamishwa tambaza secondary 1993 mko wapi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale walio fukuzwa na wengine kuhamishwa tambaza secondary 1993 mko wapi????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kipusy, May 10, 2010.

 1. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Washkaji wote waliosoma tambaza enzi zileeee big up sana, mnamkumbuka nyau, Mwl. Mushi, LIle sooo la Kuwatwanga Jitegemee sec, Kakonda kalidanji mitaa ya Keko, Mnakumbuka ile mikanda uliyokua unachapwa pale kantin kugomea menyu? Kina Dictetor mpoo? Kina Kanaluza.

  Lile soo la vitabu ni soo babaake, kuna mtu ambaye alikosa volume siku ile kweli?
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tupo mkuu unataka tujitaje majina?
   
 3. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  no, najua wanajeshi wangu mpo ila wengi maisha yalialibika pale mlipopelekwa mikoani mkaendeleza ubabe....
   
 4. g

  gkijole Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Jun 20, 2007
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee mambo ya sikonzi kwa chai! Maisha yanasonga ingawa wanasambukile wengine baada ya pale ikawa ndiyo mwanzo wa kuharibikiwa na mpaka leo wanaishi maisha ya taabu,wengine tulikomaa hivyo hivyo hadi kuvaa majoho maisha yanasonga.
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  nawafahamu waliohamishiwa Magamba Secondary (sasa SEKUCO) IPO LUSHOTO, jamaa walikuwa na fujo ile mbaya.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa wengine waliletwa minaki haukupita mda wakachoma shule
   
 7. B

  BARRY JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Jamaa hawakuacha fujo na kuvuta bangi wakaishia kufukuzwa shule, nilikutana na mmoja kawa teja pale samora
   
 8. j

  jigili JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Aisee!! nimekumbushwa mbali sana enzi za akina vimto, kuna mwalimu alikuwa vituko kwa sana anaitwa Lulindi, mie mmojawapo nilitupwa mkoani baaada ya
  kusimamishwa mwaka nashukuru mwisho wa siku niliweza kusimama tena
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  Wengine waliletwa Shy sec a.k.a. ShyBush wakasababisha mgomo 1995
   
 10. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wengine wakaenda jangwani wakampiga matron
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kumbukumbu zangu zinaniambia kulikuwa na "ugomvi wa jadi" kati ya Azania na Tambaza mpaka hili suala likaongelewa Bungeni, maana kwa kweli hali ilikuwa mbaya
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka Nikakutana na Washikaji zangu Umiseta Pale Same Sec i was so Happy....

  Mr. D. Mbawala Upo?

  Fujo za Tambaza nadhani zilianza enzi za Marehemu Puzzo? aliyejiua... mwishoni wa miaka ya 80 sikuwahi mshuhudia ila Habari zake zilitosha kumuelewa vizuri kwani alikuwa anapiga konda hadi Dereva halipi nauli akimkuta form one anamyang'anya pesa, Alishawahi mtuma mtu Chips na soda akampa shs Kumi kisha akamuambia arejeshe na chenchi wakati Soda ilikuwa ni shs 16 Chips na shs 10
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Umsikie Lulindi anamsifia Socrates na "Socratic Method", au anakupa stories za Josip Tito, au habari za mkutano wa Bandug kama alikuwapo vile. Lulindi alifundisha historia kama profesa wa chuo O Level. Wakati kila mtu kashikwa na euphoria ya kufunguliwa kwa Mandela Lulindi alitabiri how disappointing the Mandela presidency would turn out to be.

  Halafu Lulindi anachat na wanafunzi kama mshikaji tu. Hata njuka.

  Umenikumbusha mtu ambaye ningependa kumsikia mazungumzo yake sana.
   
 14. k

  katalina JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawakumbuka wanatambaza walipokuja shuleni kwetu BK, walileta zao za kunyoa vipara vya wembe na kumaliza nywele zote. Walipigwa azabu hadi nywele zilipoota tena...... HATA HIVYO MLITIKISA NCHI.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah na bro angu nakumbuka alihamishiwa Dom alipo rudi likizo akadata jumla mpaka leo.
   
 16. chamlungu

  chamlungu JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  nilisoma hapo miaka hiyo. Hii ilikuwa shule ya aina yake. Tulikuwa tunakula viazi maganda na mchuzi wa nyama. Halafu unakwenda summit kupiga shule. Ukitoka hapo ngoma Faya au Palm Beach unalamba Riziki kwa Mungu, Dau la Mnyonge, Simba Luwala, Kolombia,n.k. Konda akileta zake anachapwa. Walikuwepo kina Shetani, No Mbungi, DickPapa, hata Ndama Mutoto ya Ngombe maticha wetu Father K, Busianya,Haonga,Kaihula(sasa Mb Cdm), Savimbi,n.k Those old gooddays
   
 17. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  vujo zile zilisababisha nichubuke magoti kwa kukimbilia polini usiku. jamaa walichinja kuku wote wa shule. wengne walikata gogo staff
   
 18. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  hizo story sisi tulisikia tu!
  mimi niliingia hapo advance level baada ya o level kusambaratishwa shule za bush!
  nilipokuja dar last year nilipita hapo mitaa ya tambaza nilikumbuka mambo mengi sana!
  nashauri tuanzishe special thread ya tambaza sec school
   
 19. k

  kinai Senior Member

  #19
  Nov 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daah! Umenikumbusha mbali sana unapolitaja hili daladala simba luwala. Nadhani lilikuwa ubungo kariakoo au posta. Ilikuwa miaka ya 1985 na kuendelee. Nakumbuka mechi zilizokuwa zinachezwa pugu sec. Ilikuwa kazi kubwa azania inapocheza na tambaza au tambaza na kinondoni. Bakora na ngumi nje nje. pamoja na fujo zote lakini shule zilikuwa na wanafunzi vichwa na tulikuwa tunajuana nani bingwa wa maths, physics, kemia na biology miongoni mwa wanafunzi wa shule hizo. Namkumbuka Benedict ndomba wa tambaza miaka ya 1984- 1987, modest stanley chindonga azania 1984-1987. wana njawa azania(84-87) Modest ni mhandisi tanesco ila sikui Benedict yupo wapi
   
 20. J

  John W. Mlacha Verified User

  #20
  Sep 1, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Tambaza mpo bado?
   
Loading...