Wale wajuzi wa mambo ya Internet hapa

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
280
Katka pita pita ya mtandaoni Nimekutana ma hili Dark Web nikajaribu kuipitia nikaelewa yafuatayo;

*Kuna fanyika biashara za magendo kupitia mtandao.

*Ni ngumu kuielwa kwa mtu tu wa kawaida ningependa kufahamu kuhusu hili maana nimejaribu kujua zaidi naona napotea mwenye ujuzi.

Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…