Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,415
- 861
Nipo kibaoni kisiwani, tutenzi kalesaKumwitu kulisumbuanga pande za kristu mfalme, karibuni sana wadau
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naomba unikumbushe hayo maneno... Ughonile, mwagono na mwakata yana maana gani vilee... Maana nimesahau kidogo...So nimeishi huko mwaka mmoja na nusu pale Mafinga Townsalaam,
hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali.
Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma sijui bukoba au Mara....umepatwa na mihamu yote inaishia njian kwa uchovu wa safari na ukifika lazima utoe penz japo umechoka coz mwenzio nae alikuwa anakusubiri kwa hamu.
Umbali nao ni janga haswa kwenye suala la ndoa...ifikapo harusi bas unajikuta huna ndugu walokusindikiza zaidzaid utawaona wazaz wako,tatizo nini utasikia gharama ya nauli na umbali.
Tafadhali hili ni muhimu sana jaman......hapa hakuna kuogopana ii no sehemu ya maisha yetu. u are welcome

Njombe right here
KATAVI MPANDA HAPA
MikocheniMie makanyagio hapa
Makambako
Na ukungu wa kutosha kabisa,mtu akiwa mita kumi haonekani wakati ni mchana.
mbeya mbarali ubaruku oyoooo piga keleleeeMbarali hapa
mbarali mbeya hapa
Mzee jina lako ndio linahakisi Hotelkubwa pekee makete ya Madihani Villa?Au umeiba tu jina la Madihani
Makambako moja hiyoNiko Makambako Kwenu Mkuu!bado upo au ulishaondoka?
Salama kalesaMwakata wuli mwe wantu wakwe Lesa?
Ooooh,uyalaule pao palisumbuwanga,,,Sumbawanga hapa no uchawi tumeokoka wote
Ushirika- tukuyu hapa imoooooooooooooooooooooooooooooooo