Tabutupu JF-Expert Member Nov 26, 2010 13,206 18,548 Jan 14, 2017 #2 ivi kwanini serikali hiii inatuchukia sana wananchi kiasi cha kupanga mambo ya ajabu kama haya.
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,191 Jan 14, 2017 #3 Kukopa harusi kulipa Msiba. Kazi ya Jakaya ilikuwa kuwapa Mikopo Kazi ya Magufuli ni kusimamia Marejesho ya Mikopo
Kukopa harusi kulipa Msiba. Kazi ya Jakaya ilikuwa kuwapa Mikopo Kazi ya Magufuli ni kusimamia Marejesho ya Mikopo
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Mar 16, 2014 4,131 6,111 Jan 14, 2017 #4 Serikali ya wanyonge. Mniombee