G Godfrey joseph kimar Member Joined Jun 13, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Sep 23, 2013 #1 kutoka jikoni ni kwamba majina ya wanafunzi walio apply vyuo vya uuguzi yangetakiwa kutoka leo lakini kutokana na tatizo la mtandao wameshindwa kuyaweka kwa hiyo majina hayo yatawekwa website ya wizara ya afya matengenezo yakishakamilika
kutoka jikoni ni kwamba majina ya wanafunzi walio apply vyuo vya uuguzi yangetakiwa kutoka leo lakini kutokana na tatizo la mtandao wameshindwa kuyaweka kwa hiyo majina hayo yatawekwa website ya wizara ya afya matengenezo yakishakamilika
Alex Bayona Member Joined Feb 20, 2013 Posts 70 Reaction score 6 Sep 23, 2013 #2 Hahahahaha haya bhana!
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Sep 23, 2013 #3 Napita
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Sep 24, 2013 #4 umezungumzia certificate tu, diploma vipi,.
B black silver Member Joined Sep 21, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Sep 24, 2013 #5 vipi bayona mbona wacheka?
G Godfrey joseph kimar Member Joined Jun 13, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Sep 24, 2013 Thread starter #6 chakii said: umezungumzia certificate tu, diploma vipi,. Click to expand... mulemule
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Sep 24, 2013 #7 Godfrey joseph kimar said: mulemule Click to expand... Acha uhuni, pangilia taarifa yako usikurupuke tu au ulikuwa unamalizia kifurushi chako cha mkopo,.
Godfrey joseph kimar said: mulemule Click to expand... Acha uhuni, pangilia taarifa yako usikurupuke tu au ulikuwa unamalizia kifurushi chako cha mkopo,.
0 0767854945 Member Joined Jul 5, 2013 Posts 74 Reaction score 2 Sep 24, 2013 #9 Hawa jamaa tumewachoka yaani ni miezi tisa tangu tutume maombi
M Mapambano kag Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 117 Reaction score 26 Sep 24, 2013 #10 0767854945 said: Hawa jamaa tumewachoka yaani ni miezi tisa tangu tutume maombi Click to expand... subira yavuta her subir tu
0767854945 said: Hawa jamaa tumewachoka yaani ni miezi tisa tangu tutume maombi Click to expand... subira yavuta her subir tu
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,912 Sep 27, 2013 #12 Dr.Abdul said: Da tokeo tayal Click to expand... Ya kweli haya au umeamua tu kusema mkuu!!Tupe link kama ni kweli!!
Dr.Abdul said: Da tokeo tayal Click to expand... Ya kweli haya au umeamua tu kusema mkuu!!Tupe link kama ni kweli!!
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Sep 27, 2013 #13 Ibradehustler said: Ya kweli haya au umeamua tu kusema mkuu!!Tupe link kama ni kweli!! Click to expand... Mzinguaji kweli atupe link.
Ibradehustler said: Ya kweli haya au umeamua tu kusema mkuu!!Tupe link kama ni kweli!! Click to expand... Mzinguaji kweli atupe link.
piar New Member Joined Sep 10, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Sep 27, 2013 #14 Mbona sasa kwenye website yao hamna kitu jamani
J JeffHarry Jr Member Joined Apr 14, 2013 Posts 17 Reaction score 2 Sep 27, 2013 #16 Ngoja ngoja yaumiza matumbo!!! Washatufanya maboya awa ila kwakuwa tunashida ngoja tusubiri 2!!!
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,741 Reaction score 1,723 Sep 27, 2013 #17 :behindsofa: kuwa wavumilivu yatatoka tu
D Dr.Paul Member Joined Jul 13, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 28, 2013 #18 Acha Mizinguo,Kwani We Kuingia Jf Kupost Mtandao Haukuwepo! We Kweli Wa Digital!!!
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Sep 29, 2013 #19 Mkasome huko msije kufeli tena kama mlivyokuwa form4
M Martin Mhina Senior Member Joined Jul 24, 2013 Posts 169 Reaction score 37 Sep 29, 2013 #20 mpigamsuli said: Mkasome huko msije kufeli tena kama mlivyokuwa form4 Click to expand... haya bhana mze wa majungu!
mpigamsuli said: Mkasome huko msije kufeli tena kama mlivyokuwa form4 Click to expand... haya bhana mze wa majungu!