Oyo mnaonaje tukiunda umoja wetu . Tunaupa jina la JF UDOM. Tutautumia kupeana support kwa mambo mbalimbali, studies na maisha ya kawaida. Guys itasaidia sana kwa sababu wengi tunaenda huko hatumjui mtu.
Kama wazo zuri basi tutumie thread hii kupanga mikakati.
NAWASILISHA.