PamejaaUsagara
Kajaribu uone kama utapata maeneo upande huo..Kweli mkuu una uhakika?
Nimesafiri na kurudi sitegemei kurudi hivi karibuni ila kuna jamaa yangu ana eneo kubwa sehemu za mahina karibu na kanisa la wasabato
Lina ukubwa gani na analiuza bei gani limepimwa hebu changamkia hayo majibu mkuuNimesafiri na kurudi sitegemei kurudi hivi karibuni ila kuna jamaa yangu ana eneo kubwa sehemu za mahina karibu na kanisa la wasabato
Mimi nataka maeneo ya kiseke au kiloleli nusu heka kama imepimwa na IPO kwenye Huduma muhimu kama bara ara na UMEME na maji tuwasilianeKuna buswelu,kuna Kishiri kuna kisesa ,buhongwa na usagara sema unataka wapi
Usagara nadhani ni Poa. Ni PM namba yako nimtumie mtu wa huko muwasilianeLina ukubwa gani na analiuza bei gani limepimwa hebu changamkia hayo majibu mkuu
0769011647 David nipo mwanzaUsagara nadhani ni Poa. Ni PM namba yako nimtumie mtu wa huko muwasiliane
0655417523 Nipigie Huyo anaitwa Faustine0769011647 David nipo mwanza