hakuna kitu kibaya kwa mpiga msuli kila kitu kizur! Kiukwel bora TEKU Kuliko muccobs coz mpaka nw matokeo yao yanawekwa kwnye ubao!duuuu pole TEKU AU ST JOHN...?
ndio mkali wangu apex wape vijana waelekezo. scopio ninawasalimu pia wale wa udsm hasa kozi za pspa wajipange kwani corse ni ngumu sana kama umezoea bata utaonachuo kichungu kila wakati.