Deucalion Member Joined Oct 7, 2017 Posts 88 Reaction score 22 Dec 13, 2017 #1 Habari wakuu..ningependa kuuliza kama kuna vyuo teali majina ya wale wa misallocation kama yameshashughulikiwa na kutumwa chuoni. Toka bodi waseme majina 590 yashapelekwa vyuoni siku wanatangaza appeals!
Habari wakuu..ningependa kuuliza kama kuna vyuo teali majina ya wale wa misallocation kama yameshashughulikiwa na kutumwa chuoni. Toka bodi waseme majina 590 yashapelekwa vyuoni siku wanatangaza appeals!
D daudi_8 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 218 Reaction score 31 Dec 13, 2017 #2 Politics!!!!!!!!!
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Dec 13, 2017 #3 Upo chuo ganii mkuu???