Wale wa kutafasiri picha

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
999
668
hii picha inatafasiri nini nyuma yake?
Au inamaanisha nini?
 
Attachments

  • farahindi.jpg
    14.3 KB · Views: 624
Viumbe wa aina Hii yaani nusu binadamu nusu mnyama huwa ni malaika au majini.
 
Ni farasi wa mtume (S.A.W) kutoka peponi anaitwa al -buraq (lightening)....alimbeba mtume katika safar zake za isra na miraj....

Ushahidi katika Qur-an surat al isra..
 
Ni farasi wa mtume (S.A.W) kutoka peponi anaitwa al -buraq (lightening)....alimbeba mtume katika safar zake za isra na miraj....

Ushahidi katika Qur-an surat al isra..

Ndo alikuwa na kichwa cha mwanamke wa kihindi????!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…