Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 569 Reaction score 927 May 16, 2015 #1 kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo ili kufahamiana zaidi.
kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo ili kufahamiana zaidi.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 13,388 Reaction score 37,928 Apr 28, 2023 #2 Kitambo sana
dadapesa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 366 Reaction score 662 Apr 28, 2023 #3 Kitambo kweli 2005-2008