Wewe hujui kuwa kauli za rais huwa ni za kisanii?walisema JWTZ na Polisi wachukue vijana toka JKT tuu lakini wapi pesa yako na god father ndiyo inakupeleka hukoWana jf wanaofaham msaada please,vp ajira kwa wale walioko JKT mana hakuna updates zozote tupo tu tunalima,vip sekretariet ya ajira hawapitii kuchukua watu huku mana RAIS KIKWETE alisema sekta zote za serikali zianze kuajiri kupitia JKT,ni mwaka na nusu degree holders tupo huku,na umri unakwenda watu wamechoka huku.
ctak kuamin kuwa upo mwaka na nusu jkt labda kama ni darasa la 7 au fm 4 coz dogo ameingia amekaa miez 3akachuliwa jwtz yy kidato cha 6
Wana jf wanaofaham msaada please,vp ajira kwa wale walioko JKT mana hakuna updates zozote tupo tu tunalima,vip sekretariet ya ajira hawapitii kuchukua watu huku mana RAIS KIKWETE alisema sekta zote za serikali zianze kuajiri kupitia JKT,ni mwaka na nusu degree holders tupo huku,na umri unakwenda watu wamechoka huku.
huo ndo ukwel wenyewe, hasa kwa graduates wa op miaka 50 ya jkt, kama hauna refa huendi tpdf. Waulize op sensa watawaambia ukwel wenyewe.