mkuu! kwa kweli sijawa na details zake kwa saaana! ila naamini kil mahala pana raha na taabu zake hasa vyuo vyetu vya tz hapa. ila kwa life style ya tanga ni nzuri hakuna shida shida za vitu muhimu kama maji,umeme,n.k! elimu ni ngumu, so jitihada yako ndo itakayo kutoa na kukupeleka pazuri