Wale wa Dodoma University UDOM

Wale wa Dodoma University UDOM

Petabyte186

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
91
Reaction score
36
Habari wana JF?
Kunaswali kidogo linanichanganya ningependa kupata msaada.
Kuna karatasi za payment information unakuwa unapewa ambazo zina control number. Hizi namba ndo unakwenda kulipia bank au vp.??
Maana kuna document linaonesha namba za malipo kwa kila bank. Hivi hili halitumiki au vp.?
 
Inabidi ukalipe kwenye akaunti tajwa kwa malipo husika
 
Jaman naombeni kujua namna ya kuangalia majina ya first year UDOM. Mdogo wangu kapewa mkopo mpaka sasa hajajua ni chuo gan kapangiwa
 
madogo mnazingua, vitu vidogo vidogo kama hivi!!!!

ipo hivi, kila payment ambayo unapaswa kulipia huwa na a\c no yake special kwa mfano ada ina ac # yake, direct cost ac #, ndio unabidi uangalie unataka kulipia kama ada basi utatumia ac # za ada ambazo zimewekwa kabisa mara nyingi ni NMB na CRDB UDOM hutumia
 
Back
Top Bottom