Wale wa Dodoma mjini.

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Natafuta chumba cha kupanga mwezi August mpaka October hata kama wewe ni mwanafunzi unapanga unaweza niachia wakati wa likizo nitalipa kila kitu. NB atleast km 1 toka General hospital. Pm me.
 
View attachment 163348 Room zipo na nikariu kabisa na General Hospital
Vyumba ni Self-Contain vikiwa na TV -Cable yenye channel zaidi ya 60, Maji masaa 24 bafu na choo vipo ndani ya vyumba
Nyumba yenyewe ipo brbr ya 12 (Hospital Street) baada ya Peter Fashion ukielekea soko Kuu la Majengo bei ni 5,000/= kwa siku au 150,000/= kwa mwezi

km upo tayaru Ni-PM nikuunganishe
 

Ndugu samahani kwa kuingilia mada lakini mimi shida yangu ni kupata chumba cha kufanyia biashara maeneo ya dodoma mjini, je naweza kufanikiwa kupata?
 
Last edited by a moderator:
Room ziko vzr lakini mimi naitaji tu chumba cha kawaida atleast 30 per month.
 
We Ukwaju hii ni hostel?
Ni
mfano wa Hostel
Kwani zilikuwa Guest kwa ajili ya Wajumbe wa Bunge letu hili la vurugu ku mkichwa na katiba mpya
sasa wamelala mbele
kwa hiyo vipo kwa shughuli yeyote na chochote kinafanyika humo mradi huduma zote zipo na hata huduma ya Mgahawa unaojitegemea upo
 
Ndugu samahani kwa kuingilia mada lakini mimi shida yangu ni kupata chumba cha kufanyia biashara maeneo ya dodoma mjini, je naweza kufanikiwa kupata?
Mae
neo yamegawanyika Mkuu ni km ilivyo Miji mikubwa ya kibiashara
(Eneo la Madukani)Katikati ya Mji ni Ngua za watu wazima na watoto Kodi zake ni kuanzia 350,000/ hadi 250,000/
(Eneo la Mji Mpya) Vipuri vya magari, ujenzi Hard ware ZA AINA ZOTE Kodi ni 200,000/ hadi 250,000 kwa mwezi(Eneo la Majengo sokoni ) Vyakula nafaka za jumla nk Kodi ni 150,000 hadi 100,000
kuna mitaa mingine ni Vifaa vya Kilimo na Daa za wadudu Kodi ni 250,000/ hadi 200,000/
Mitaa ya brbrya 6 na 7 maarufu kwa simu za mikononi Kodi ni 600,000/ hadi 400,000/
Mitaa ya Mtendeni ni Stationary nako 350,000/ na kuendelea
bar au Hotel za katikati ya Mji ni 1,000,000/ mpaka 500,000/

Nje ya Mji ni maelewano na sina habari zake zaidi labda nifuatilie
Ni biashara gani unaleta au Magari Show Room ni Popote watakuuzia
 
Room ziko vzr lakini mimi naitaji tu chumba cha kawaida atleast 30 per month.

sawa Mkuu
maeneo unayoyataka ambapo ni Karibu na General Hospital Kodi hizo juwezi pata maana nyumba wamezibadili kuwa za biashara km vile DSM Kitumbini, Kariakoo nk
Nje kidogo km Iringa road au airport unaweza pata kwa 40 hadi 50 na wanapenda kwa miezi 6 na hii ni kutokana na Wanachuo wali humu Mjini
 

Ina vyumba vingapi mkuu?
 
Ina vyumba vingapi mkuu?
vipo vi4
ila kwa sasa kuna Wanachuo kutoka Ardhi wapo Field hapa mjini hadi June 2014 bado km wiki 3 mwishoni patakuwa wazi
uzuri wa hapo ni km Hostel zile sheria za room mtu mmoja hazipo
 
vipo vi4
ila kwa sasa kuna Wanachuo kutoka Ardhi wapo Field hapa mjini hadi June 2014 bado km wiki 3 mwishoni patakuwa wazi
uzuri wa hapo ni km Hostel zile sheria za room mtu mmoja hazipo

Dah, vinne vichache mkuu kwa wazo nililokuwa nalo.
Pamoja kaka!
 
Dah, vinne vichache mkuu kwa wazo nililokuwa nalo.
Pamoja kaka!
Ok na mm nashukuru lkn ukipata wengine ww NISUKUMIE TU
Wajumbe wa Bunge wameamua kuchukua vile simple ili wadundulize
 
Ok na mm nashukuru lkn ukipata wengine ww NISUKUMIE TU
Wajumbe wa Bunge wameamua kuchukua vile simple ili wadundulize

hahhaaa, walivyoona posho imepungua wakakimbia!!!!...lakini mbona elfu 5 ni rahisi sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…