K kipande cha mtu Member Joined Sep 26, 2015 Posts 50 Reaction score 2 Mar 31, 2016 #1 Habari zenu wakuu, Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao wanahitaji kwenda kusomea kozi ya clinical medicine tu. Tutajuzana kuhusu mpangilio wa masomo,namna ya kupata GPA nzuri na mengine mengi yenye kuleta maendeleo. Karibuni.
Habari zenu wakuu, Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao wanahitaji kwenda kusomea kozi ya clinical medicine tu. Tutajuzana kuhusu mpangilio wa masomo,namna ya kupata GPA nzuri na mengine mengi yenye kuleta maendeleo. Karibuni.
Kawalala93 JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 400 Reaction score 1,586 Mar 31, 2016 #2 Haya bwana watakuja..