wale wa Betting Hiv Kununua mechi ni kweli au wizi tu

Emmak

Senior Member
Feb 28, 2017
147
118
.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-24-20-05-44.png
    Screenshot_2017-03-24-20-05-44.png
    50 KB · Views: 99
Uongo mtupu tena nahisi hio betting tips ni ya wanaija.. Hata hizo VIP tips hazipo true 100%
 
Kama unahitaji predictions za ukweli nenda Kwa Mr predictor au betbook ingawa Kwa Sasa site yao ipo closed sijui kwanini
 
Kabla hujauliza swali ungejiuliza mwenyewe kwa nini wauze si wabeti wenyewe wapate hela hizo
 
Kabla hujauliza swali ungejiuliza mwenyewe kwa nini wauze si wabeti wenyewe wapate hela hizo
wew unaonekana hata hujawah sikia haya mambo we tulia bana
acha wenye majibu ambao washawah jaribu watusaidie hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom