TheForgotten Genious JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 2,743 Reaction score 4,146 Dec 31, 2024 #1 Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao.
Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao.
Fufua Tumaini Jipya JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 223 Reaction score 469 Dec 31, 2024 #2 TheForgotten Genious said: Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao. Click to expand... Tulia Kijana acha kuwaza ngono na pombe . Ikifika usiku 00:00 AM kaaa umshukuru Mungu Kwa zawadi ya MAISHA na Kama unasadaka yoyote katoe sehemu usika.
TheForgotten Genious said: Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao. Click to expand... Tulia Kijana acha kuwaza ngono na pombe . Ikifika usiku 00:00 AM kaaa umshukuru Mungu Kwa zawadi ya MAISHA na Kama unasadaka yoyote katoe sehemu usika.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,908 Reaction score 31,721 Dec 31, 2024 #3 TheForgotten Genious said: Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao. Click to expand... πππ
TheForgotten Genious said: Leo saa 2359 ndio mwisho wa kufosi kwa mwaka huu ,kanyageni mafuta sana mpaka kieleweke hesabu zifungwe mapema,mabaharia wapo kibao. Click to expand... πππ
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,467 Reaction score 193,435 Dec 31, 2024 #4 Kila la kheri... Cc: Mahondaw