Ningeomba mkuu Mello afikirie kuwa na search engine kama ilivyo google. Jf search engine itasaidia sana kutafuta kitu umekisahau au una uhitaji nacho.
Mbona wenzetu wanazo za kwao na zinawasaidia hasa kwenye lugha zao..tuwe na search engine kwa ajili ya kutafuta content zinazojiri ndani ya nchi. Yandex, mail.ru ni mifano tu.