Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

Hii mada hizi nazo ni sifa?

Tanzania tumeishiwa maadili kiasi ubakaji ambao unaweza kumpeleka mtu jela miaka 30 tunauona kama ni ushujaa?

Dah! Hii nchi maadili yameporomoka kiasi tumefikia tunajisifia maovu badala ya kuamrishana mema na kukatazana maovu.
 
Kwahyo ulitakaje?
 
Nimecheka mwenyewe ...Aisee..mbususu noma
 
Humu kuna nyuzi nyingi na sio kila nyuzi zinakuhusu wewe.

Hata Kama upo kwenye joto,,
Na wewe ni single mother,

Lakini usiparamie wanaume kwa fujo.

Si kila nyuzi zinakuhusu wewe,,
Hili bandiko haliko kwa ajili ya kumfurahisha mtu.

Bali ni kuleta experience ya mambo wanayopitia wale wanaume wanaonyatia wadada wa kazi.

Beside of that ,,who are you in jf kuwapangia watu cha kupost?

mbususu wewe"

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kalee wajukuu wewe..unataka dunia zima...iwe na wema hiyo misikiti na makanisa yatafanya kazi gani sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyo mmama ana jifanya much know sana.Ana jikuta yuko perfect.Hachelewi kukupa vifungu vya kwenye biblia
 
Wewe ni mwema Kwa lipi? Au kazi kujificha nyuma ya keyboard uonekane mwema.

Halafu siyo kila thread uchangie.

Thread zisizo na maadili huwa zina ondolewa na Mod. Acha u much know.
 
Hii mada ina tofauti gani na kula kimasihara, Acha kujikuta mumama wewe.Hayo maadili si uwape watoto wako? Halafu muda ukifika dunia itawapa maadili yake. Acha u much know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…