Habari wana Jf natumaini ni wazima wa afya , samahani ndugu zangu kama kuna MTU ana ufahamu vizuri na kozi hizi naomba anifafanulie vigezo vya kusoma kozi hizi kwa ngazi ya cheti au diploma
1.computing and information communication technology
Hapo lazima,uwe na PCM,ya olevel kama unaenda kusoma Ordinaly diploma,au ya A level kama unaenda kusoma Beng,ila ingia kwenye tovuti ya chuo,utapata yote hayo