Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,810
Aiseee Morning Glory wanandoaa!
Basi bwana week yote hii uku kwetu Mbeya Vijijini nimetembelewa na Mama yenu mdogo wengine Bibi yenu wengine Shemeji yenu na wengine wifi yenu na Wengine Lishangazi lenu. Sasa napewa yote kila mahali jikoni ni twaa twaa chooni ni twaa twaa sebuleni twaa sijawahi kukiexpirence ichi kitu wanandoa mnafaidi sana sana.
N.B Next week naenda kutoa mahali kwao Tanga-Handeni barabara ya Saba Kwa Mgosi.
Kiongozi hapa bado sijachanika kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa makini, tumia akili na tunza kibunda chako
Mkuu lishangazi menipikia limenifuria nguo hapa limetoka kuniogesha hili nalioa mwaka huuYani uje upinge taasisi kubwa kama kataa ndoa kwa kupewa yote na jishangazi nan kakuambia kataa ndoa awapewi mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinitisheMtoto akililia wembe
Acha umkate
Hizo hisia za mwanzo mwanzo zisikuchanganye, huko mbele ya safari ndo utajua vizuri upo kwenye kitu gani, tumia akili tunza kibunda chakoKiongozi hapa bado sijachanika kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua mahuburi yao yamejaa wivu mkubwa juu ya taasisi nyeti ya ndoaMahubiri ya kataa ndoa hayana madhara ndoa zinafungwa mpaka na vichaa wala shisha. Watu wanaokotana huko wanaoana watajua mbele kwa mbele ikivunjika sawa ikidumu sawa, kataa ndoa na maspika yao wanapuuzwa.
Huu ndo ushauri nautaka asante sana hao kataa ndoa kuna sehemu wao ndo wamelikorogaWasikutishe, jiolee mwanya uanze kulazwa mzungu wa nne, upewe Kwa mgao kama umeme wa tanesco.
Ndoa ni kitu chema, atakaye na aoe.
Sawa mkolochiMkuu lishangazi menipikia limenifuria nguo hapa limetoka kuniogesha hili nalioa mwaka huu
Sawa kiongozi ngoja kwanza nile mema ya Nchi hayo mengine yatakuwa majuto mjukuuHizo hisia za mwanzo mwanzo zisikuchanganye, huko mbele ya safari ndo utajua vizuri upo kwenye kitu gani, tumia akili tunza kibunda chako
We jamaa mkolochi Tena??? Mimi mkombe bhana unazinguaSawa mkolochi
Ila bora kuhubiri faida za bangi watu watasikia sikia, kataa ndoa wanapuuzwa kweli. Michango kila sehemu.Nimegundua mahuburi yao yamejaa wivu mkubwa juu ya taasisi nyeti ya ndoa
🤣🤣🤣 eti limeni furia.Mkuu lishangazi menipikia limenifuria nguo hapa limetoka kuniogesha hili nalioa mwaka huu
Wapuuzwe wapuuzwe ndoa ina raha yake imagine week nzima Niko ndani na mtoto wa Kitanga na simu zinazimwaIla bora kuhubiri faida za bangi watu watasikia sikia, kataa ndoa wanapuuzwa kweli. Michango kila sehemu.