Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
Wana uwezo wa kununua smartfon?Hivi lasaba wamemaliza mtihani naona wameanza kuanzisha thread humu
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo teacher wa chuo sioDogo ungekuwa wa kike ungekuta una mimba na watoto 7 kila mtoto na baba yake.....
nakutabiria kama unaenda chuo jiandae ku-disco...
wapo waliokuja humu kwa mbwembwe kama wewe mwisho wa siku wanaomba ushauri kwa ku-disco... mark my words
Nyie vichwa nazi wazee wa chabo msiangaike kuomba loanHivi lasaba wamemaliza mtihani naona wameanza kuanzisha thread humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu wa kike
Tuliza mshono we chuo utakisikia kwenye bombaMkuu ulikuwa kipanga enzi zako
Mwambie uyo dem analeta shobo kwanguWana uwezo wa kununua smartfon?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
We akili ndogo huwez huu mziki wachek madem wenzioNinachoipendea jf kitu kingn ni pale akil ndogo inapotak kuendesha akil kubwa na akil kubwa anapotak kutumia akil ake kubwa kujudge vitu vya kutumia akil ndogo full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa xana mkuuNinachoipendea jf kitu kingn ni pale akil ndogo inapotak kuendesha akil kubwa na akil kubwa anapotak kutumia akil ake kubwa kujudge vitu vya kutumia akil ndogo full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa mkuu umezngua ujue mm ni me tena mweny meno makal kabsaWe akili ndogo huwez huu mziki wachek madem wenzio
Wa kishua
We kichwa wenzio tulishapita huko kitambo na tumesahau hata neno masomo endelea na ujuha wako.......nenda ukadisco hukoWe chuo utakisikia kwenye Bomba tu sisi tunasubiriwa tukakinukishe
Wa kishua
poa poa kipanga.Tuliza mshono we chuo utakisikia kwenye bomba
Wa kishua