Habarini....
Kwa wale AMBAO tuliitwa kwenye interview ZIMAMOTO hebu tufunguane macho kidogo.
Je interview itafanyika kwa wakati mwingine au ndo imeshatoka hiyo?
Habarini....
Kwa wale AMBAO tuliitwa kwenye interview ZIMAMOTO hebu tufunguane macho kidogo.
Je interview itafanyika kwa wakati mwingine au ndo imeshatoka hiyo?
Nakumbuka vizuri sana tangazo lao lililohusu kufutwa kwa usaili uliotarajiwa kufanyika trh April 20,tena kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa ajila na mtukufu wako,jiongeze mkuu usibweteke