walau wasanii wetu wakibongo wangeweza kupiga shoo kama tu ile ya ALPHA wa Rwanda...

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show...
wabongo tumeshindwa kabisa?
 
Jamani utafikiri wote tulikuwepo. Weka chochote cha kuthibitisha show yenyewe
 
Sisi tunaweza kushika sehemu za siri na kubana pua wakati wa kuimba.....
 
ndo nini sasa hi habari imekaa kama huo mti kwenye avatar yako ........
 
Back
Top Bottom