Walaka maalumu kwa mwanangu

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
351
873
*waraka* *maalumu* *kwa* *mwanangu*

*BINTIYANGUUU*

UNAJUA KWAMBA KUNA UTAFITI ULIITAJA NCHI YAKO KUWA NAMBA 9 KATI YA NCHI ZENYE WATU WENGI WENYE IQ NDOGO??.

Na:
comred Mbwana Allyamtu

IQ sio pipi za kunyonya mwanangu ni hisa ya akili na tafsiri ya hisa ya akili(IQ) kwa mujibu wa mwanasaikolojia jean peaget ni "KIPIMO CHA MAENDELEO YA KIAKILI,KIMAONO KULINGANISHA NA UMRI WA MTU" hivyo binaadam anatarajiwa atende na aongee vitu kulingana na umri wake hivyo matokeo Yale ni sawa yanasema sisi tunafanya matendo yanayotakiwa kufanywa na wadogo zetu(IQ ndogo) yani ni sawa tu tumeitwa makubwa j...

mwanangu ingekuwa shule wangesimana kumi bora akina Hong Kong na wenzie akina India wangepigiwa makofi halafu sisi tulioshika mikia tungezomewa.aibu eenhe??.ndio maana dingiako siachi kufanya juhudi za kujikomboa kifikra na kukukomboa mwanangu pia si nlikuhadithiaga alichosema mwanafalsafa Socrates kwamba "ASILIMIA 90 YA MATATIZO YA BINAADAMU YANASABABISHWA NA UDHAIFU WAKE WA KUFIKIRI" pia nkakuhadithia kitabu cha proff grangie akisitiza umuhimu wa kunoa fikra aliposema "HAYATOMFAA MTU MACHO YAKE MAZIMA IKIWA YU MPOFU WA FIKRA" .

basi nikwambie bebi eeh.hakuna njia nyingine ya kuupa ubongo wako chakula zaidi ya kusoma.nikukumbushe kwamba agizo la kwanza la Mungu kwa mtume Muhammad alimwambia "SOMA ILI UPATE KUMJUA MOLA WAKO" hii itoshe kukuaminisha kwamba aliyetuumba anatuambia kwamba ujuzi na upanuzi wa fikra upo ktk kusoma ukitaka kuamini tazama matokeo baada ya mtume Muhammad kusoma alimudu vizuri kujieleza,kuwajibu walio na shaka na kuacha mafundisho yenye busara kwa wafuasi wake usisahau pia hata yesu alihudhuria darasani kujifunza(kumbuka ile filamu iliyoigiza matukio yake).kusoma kuliinua fikra zao pamoja na kwamba walikuwa wateule wa Mungu.

nilikuhadithia pia kitabu cha mafunzo ya dini ya budha(budheism) ambayo yanasema "HISIA TAMU ZAIDI HAPA DUNIANI NI KUJUA KWAMBA UMEKUWA CHANZO CHA FURAHA ZA WENGINE" hapa itakusaidia kuwa mtoto nzuri,rafiki bora na hatimaye Mke bora na mama bora ni kwa jinsi hivyo ndo tutakuwa na taifa lenye furaha,unaikumbuka maana ya "NvvIRVANA" kwa mujibu wa dini ya budha?.usiisahau nukuu maarufu ya kiongozi na mfuasi wa dini hiyo bwana DALAI LAMA aliposema "JUKUMU LETU KUU KTK DUNIA HII NI KUSAIDIA WENGINE NA KAMA UTASHINDWA KABISA KUSAIDIA BASI JITAHIDI USISABABISHE MATATIZO YA WENGINE"

kati ya yote nliyokufunza binti yangu lizingatie sana nililokufunza kutoka kwa mwanafalsafa Plato ktk moja ya nukuu zake anasema hiviii "ONGEA PALE TU UNAPOAMINI MANENO YAKO NI BORA KULIKO UKIMYA"

soma mwanangu ujitofautishe nai kwa kuwa na uwezo wa kujieleza,kujieleza kwa hoja,kufikiri kwa kina kutakapokuepusha na matatizo au kuyakabili matatizo,soma uje utumie akili kuhukumu vitu sio hisia tu.soma eeenh mama

Tuendelee zetu kusoma mwaya

Ndimi
Comred Mbwana Allyamtu

+255679555526
+255765026057
Mbwanaallyamtu990@gmail. Com
55b8c553df4264b2ab1c810082bf9800.jpg
 
*walaka* *maalumu* *kwa* *mwanangu*

Usimpe mtoto grand malt si nzuri kwa afya yake bro
 
Back
Top Bottom