Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
WAKUU,
wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
WAKUU,
wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
Mi ndiyo nipo kwa pc soon nitaleta feedback hapa!
hiii kitu imenitisha sana na nilikuwa naletewa onyo mara kwa mara kuonyesha ni malware wakati inainstall!
mbona kwangu ipo fresh tu!!!
Kumbuka baadhi ya ant virus zinadetect software /crack kuwa ni virus au malware so hakuna cha kutisha hapo.
yap lazima iwepo net ya kudonload drivers husika!!!hata hivyo hii program nahisi ni lazima uwe na net maana kwa kuwa na collections ya drivers zote kwenye ka file ka 12mb kweli?? mi nijuavyo program unayoweza kuinstall drivers bila kutumia internet ni driver packs tu na ndo ninayotumia sana..tena hata huitaji kuinstall program nzima ni kama cd tu ukiweka inasearch missing drivers yenyewe na kukuuliza kama unataka kuinstall..yenyewe ni kubwa zaid ya 2GB kama alivyosema mdau hapo juu...
mkuu unapatikana dar? ili nikutafute nahitaji sana hiyoduh hizo sio nzuri na baada ya muda zitasababisha computer ziwe nzito zcha muhimu tafuta kitu kinaitwa driver packs kama ni toshiba sattelite andika driver park for toshiba.... mm.ninayo universal driver park ningeupload sema ni zaid ya 2 gb hakuna.computer inayoigomea
hata hivyo hii program nahisi ni lazima uwe na net maana kwa kuwa na collections ya drivers zote kwenye ka file ka 12mb kweli?? mi nijuavyo program unayoweza kuinstall drivers bila kutumia internet ni driver packs tu na ndo ninayotumia sana..tena hata huitaji kuinstall program nzima ni kama cd tu ukiweka inasearch missing drivers yenyewe na kukuuliza kama unataka kuinstall..yenyewe ni kubwa zaid ya 2GB kama alivyosema mdau hapo juu...