Wakwe mnatufanya tusiwazalie watoto wenu kwa maneno yenu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakwe mnatufanya tusiwazalie watoto wenu kwa maneno yenu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 10, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Hamada umelewa!!!@@@umelewa eeeeh
  unaweza kuhisi amelewa kumbe yatoka moyni jana nilikuwa kwenye kashere fulani
  fulani nikawa namsikiliza dada mmoja akilalamika mamamkwe anavyomtesa anakuwa kama kaolewa na mama na mtoto sasa nikasema hapa kazi nzito kwa kweli...hamad ikaniuma niliposikia yule mama akimwambia kakake mi nimeapa sitomzalia fred kabisa kwa kashfa za mamake looh
  nkasema niwaabahalishe wakwe zetu jamani wakti mwingine unaweza hisi mkweo si riziki kumbe vituko vyako na haya uishia mwanawenu kulea mtoto si wake na watu wanakula raha

  wakwe mawifi jamani punguzeni nasema punguzeni mdomo tutaaharibu ndoa ngapi
   
Loading...