ndoroma ndoroma
Member
- Dec 8, 2017
- 19
- 2
Hivi no vixuri Ku apply vyuo vingapi kma MTU ana division 2 ya 10 comb HGeconomic.... Na chuo kipi
Kweli kabisa madogo wanawenge la kwenda chuo..jipe muda fanya vitu taratibuHuu mtindo wenu mwisho mtatapeliwa.
Idadi ya vyuo ni tcu inapanga au jf?
Chuo unachotaka kwenda kina website hakina?
Kwenye website hakuna prospectus?
Prospectus haina maelekezo ya vigezo wanavyotaka kwa kozi mbalimbali?