Salaam.
Huyu jamaa ni among ma rappers niliokua nawakubali sana back in days hasa ile ngoma yake ya Wengi Walikuepo.
Jamaa alipotea kabisa kwenye tasnia ya mziki and last time iChecked walisema yuko states.
Kwa mwenye ufaham wa huyu jamaa's whereabouts na kama bado anafanya mziki naomba anijuze!