Wakuu wa Wilaya/Viongozi igeni mfano wa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru

Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,439
1,962
Wakuu leo asubuhi nilisikiliza kipindi cha kumekucha (ITV) alikuwa anahojiwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru ( sikulipata jina lake nilikuta katikati). Kifupi Mkuu huyo wa wilaya alielezea kuhusu fursa zilizopo Tunduru. Alizungumzia Kilimo cha kororsho na jinsi Wilaya ilivtyojipanga kusimamia zao hili na kuanzisha mazao mengine ya chakula na biashara.

Kilichonifurahisha kwa Mkuu wa Wilaya huyu ni kuwa ana taarifa na takwimu mbalimbali za wilaya yake, anaelewa kila kitu kinachoendelea wilayani mwake. Ana uchu wa maendeleo kwa wana- Tunduru.

Ameondoa ile dhana kuwa kupangiwa Wilaya ya pembezoni ni kutupwa bali yeye kachukulia kama Fursa ya kuonyesha changes. Ameelezea mfano mpango wa kuwagawia mbolea wakulima kwa kuzingatia idadi ya mikorosho na atashirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tunduru na watendaji wa Halmasgauri( hajaichia peke yake Idara moja ya kilimo).

Na hii inamaanisha amefanya 'Risk Analysis' kabla ya tukio halijatokea hilo la ulanguzi. Ndio tunawataka Wakuu wa Wilaya wa design hiii. Wabunifu , wapenda maendeleo.

Mh. Rais ni vyema ku-identify say wilaya moja ya mfano kikanda halafu Wakuu wa wilaya/ Viongozi wafanye ziara wajifunze ili waka-implement na kwao! Tukiwa na viongozi kama hawa hakika maendeleo tutayaona! Siasa tupa kule!
 
Ni makosa makubwa kumsaha Mhe Anthony Mtaka(simiyu) kwa watendaji wanao jielewa,ni wakuigwa pia
 
Hii ni Thread yangu ya miaka miwili iliyopita. Watu wanaanza kusema ooh kujionyesha kwenye TV. Mtu akifanya kazi yake vizuri inaonekana. Kinachowaponza wengine ni kufanya kazi kwa mazoea. Mh. Rais anacotaka ni Ubunu=ifu. Uthubutu Uwajibikaji na kuwafikiria jinsi ya kuwainua watu wa chini!
 
Uliona mbali, kujifagilia hadi umeonekana. Sasa unaenda kuuza vitambulisho katavi/mbugani. Ndio kilichomshinda Makalla hicho!
 
Back
Top Bottom