Mkuu Hapana, sio kweli kwamba kila mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanachama wa Chama cha siasa!!We utakuwa hujui unachosema, wakuu wa wilaya, wengi ni wanasiasa,wakati wakurugenzi ni watumishi wa umma, kwa hiyo unataka kila mkurugenzi awe na kadi ya chama, kitu ambacho utumishi unakataza
Mkuu nitaipitia ninayo soft copyMkuu Hapana, sio kweli kwamba kila mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanachama wa Chama cha siasa!!
Wakurugenz wa halmashauri wanaruhusiwa kuwa na kadi za Chama wakipendacho, Rejea Kanuni F. 20(1)(2) pamoja na Kanuni F. 21 za Kanuni za Kudumu za utumishi wa Umma toleo la mwaka 2009 utawajua watumishi gani waliopigwa marufuku kujihusisha kwenye siasa na wale walioruhusiwa pamoja na masharti yake !!
Mkuu vp kuhusu hao wakurugenzi 22 walioteuliwa kuwa wakuu wa wilaya nao walikuwa na kadi za chama?We utakuwa hujui unachosema, wakuu wa wilaya, wengi ni wanasiasa,wakati wakurugenzi ni watumishi wa umma, kwa hiyo unataka kila mkurugenzi awe na kadi ya chama, kitu ambacho utumishi unakataza
Nimesema wengi sio wote, nielewe kwa hilo.Mkuu vp kuhusu hao wakurugenzi 22 walioteuliwa kuwa wakuu wa wilaya nao walikuwa na kadi za chama?
Lakini pia kama haitoshi kuna wana jeshi wameteuliwa nao nimakada wa chama?.
Rais ana nahitaji watendaji makini na sio makada wa chama kama unavyofikiri ondoka ktk fikra hizo.
Mkuu ungemkumbusha pia kuwa wakati huu wa Rais Magufuli haangalii sana makada wachama kwa sababu kilichotokea wakati huu wa uteuzi wa wakuu wa wilaya pia wameteuliwa wanajeshi ambao sio wanasiasa.Mkuu Hapana, sio kweli kwamba kila mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa mwanachama wa Chama cha siasa!!
Wakurugenz wa halmashauri wanaruhusiwa kuwa na kadi za Chama wakipendacho, Rejea Kanuni F. 20(1)(2) pamoja na Kanuni F. 21 za Kanuni za Kudumu za utumishi wa Umma toleo la mwaka 2009 utawajua watumishi gani waliopigwa marufuku kujihusisha kwenye siasa na wale walioruhusiwa pamoja na masharti yake !!
Kweli itawaweka huru. Sasa kama wewe positive thinking ni kusema ndio kila kitu, kwa heri!Just try to think in postive way