Habari wakuu
Naomba msaada wa kufahamu wakuu wa taasisi za serikali hasa mashirika ya umma ambao wamedumu kwenye nafasi zao katika taasisi hizo hizo kwa muda mrefu walau miaka mitano bila kubadilishwa au kutenguliwa kuanzia 2016.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.