Wakuu wa Mikoa ya Mbeya na Mwanza chunguzeni miradi ya W. Kabwe

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,353
2,846
W. Kabwe ametumbuliwa tayari na Mh. Rais, ni wakati sasa wa wakuu wa mikoa ya Mbeya na Mwanza kuanza kuchunguza miradi na Ubadhirifu wa fedha za Umma uliofanywa na Bwana kabwe, nashukuru Mungu Mkuu wa mkoa wa Mbeya ameanza kupapasa na kunusa mradi wa Ufisadi wa soko la Mwanjelwa ambalo jiji la mbeya lilikopa sh. Bilioni 22.9 chini ya Kabwe kwa ajili ya Ujenzi huo lakini Ujenzi wa jingo hilo haujaisha na jengo halitumiwi na Wafanyabiashara kutokana na gharama ya pango kuwa kubwa sana ni sh. laki 500,000 kwa mwezi, mkuu wa mkoa wa Mbeya ameagiza Takukuru kufanya uchunguzi na kupeleka Taarifa yake haraka kwake ndani ya wiki nne tu.

Kuna taarifa kuwa Soko hilo la mwanjelwa lilijengwa na kampuni ya KABWE/ ambayo alikuwa na uhusiano nayo hivyo kutomalia kazi kwa asilimia 100.

Ni wakati sasa wa mkuu wa mkoa wa Mwanza naye aanze uchunguzi wa kina juu ya Clinic iliyojengwa na Kabwe kwa mabilioni ya sh. wakati jengo hilo halina hadhi, bwana huyu anamiliki Beach yake mwanza hapa, yaan madhambi yake ni mengi mno.

Vile vile, naomba niwaonye wale wote wanaopinga style iliyotumika kumtumbua bwana kabwe, ijulikane kwamba, Utumbuaji majipu hauna style maalum, tena Mh. Rais ingetakiwa majipu haya yatangazwe kama maadui wa Taifa.

Ukitaka utendewe haki timiza wajibu wako, huwezi kudai haki wakati hujatimiza wajibu wako,

Hata kama jipu lipo hosptalini litumbuliwe huko huko, hatuwezi kuacha kutumbua majipu eti kisa jipu lipo hospitali, sisi kuwa kwake hospitali inatuhusu nini? yaan nchi isimame kisa kuna mtu yupo hospitali?

Kumbukeni hiki cheo cha Ukurugenzi wa halmashauri ni cha kuteuliwa siyo kuajiliwa, kwa hiyo aliyekuteuwa akiamka akaambiwa kwamba Fulani ni jipu hawezi kusubiria, ni hapo hapo.

Wale wa Ukawa mmekuwa kama fuko sasa, yaan hamjui mnasimamia nini? mnyika alisimama bungeni mwaka jana akasema "Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa JK., CCM na Bunge"...sasa amekuja mtu mwenye tiba kamili mnalalamika tena? sasa ndiyo nini hii? afu hamjui kwamba wananchi wengi tunamuunga mkono Rais? mm ni mpinzania ila namuunga mkono Rais.
 
sasa upinzani wako uko wapi? au maana ya upinzani ni nini?
 
Hivi huyo ndo mwenye estate (nyumba karibia 4)pale Arusha ambazo amepangisha au ni kabwe mwingine.
 
Brigedia, nakuunga mkono kwa hoja yako ya kufanyika uchunguzi kwa madhambi ya Kabwe katika vituo vyake vya Mbeya na Mwanza. Nina uhakika aliyekuwa anamlinda Kabwe asichunguzwe ama kuchukuliwa hatua zozote za kisheria na kinidhamu naye achunguzwe ama wachunguzwe kwanini hawakuchukua hatua yoyote dhidi yake. Pia yawezekana taarifa zake zikawa katika vyombo kama TAKUKURU, kwa maana kuwa Kabwe amezungumzwa kwa muda mrefu mno, haiwezekani watu wamsingizie tu. Pia hata Mbunge wa Nyamagana alishawahi kulizungumzia suala la Kabwe Bungeni mwaka 2015.
 
W. Kabwe ametumbuliwa tayari na Mh. Rais, ni wakati sasa wa wakuu wa mikoa ya Mbeya na Mwanza kuanza kuchunguza miradi na Ubadhirifu wa fedha za Umma uliofanywa na Bwana kabwe, nashukuru Mungu Mkuu wa mkoa wa Mbeya ameanza kupapasa na kunusa mradi wa Ufisadi wa soko la Mwanjelwa ambalo jiji la mbeya lilikopa sh. Bilioni 22.9 chini ya Kabwe kwa ajili ya Ujenzi huo lakini Ujenzi wa jingo hilo haujaisha na jengo halitumiwi na Wafanyabiashara kutokana na gharama ya pango kuwa kubwa sana ni sh. laki 500,000 kwa mwezi, mkuu wa mkoa wa Mbeya ameagiza Takukuru kufanya uchunguzi na kupeleka Taarifa yake haraka kwake ndani ya wiki nne tu.

Kuna taarifa kuwa Soko hilo la mwanjelwa lilijengwa na kampuni ya KABWE/ ambayo alikuwa na uhusiano nayo hivyo kutomalia kazi kwa asilimia 100.

Ni wakati sasa wa mkuu wa mkoa wa Mwanza naye aanze uchunguzi wa kina juu ya Clinic iliyojengwa na Kabwe kwa mabilioni ya sh. wakati jengo hilo halina hadhi, bwana huyu anamiliki Beach yake mwanza hapa, yaan madhambi yake ni mengi mno.

Vile vile, naomba niwaonye wale wote wanaopinga style iliyotumika kumtumbua bwana kabwe, ijulikane kwamba, Utumbuaji majipu hauna style maalum, tena Mh. Rais ingetakiwa majipu haya yatangazwe kama maadui wa Taifa.

Ukitaka utendewe haki timiza wajibu wako, huwezi kudai haki wakati hujatimiza wajibu wako,

Hata kama jipu lipo hosptalini litumbuliwe huko huko, hatuwezi kuacha kutumbua majipu eti kisa jipu lipo hospitali, sisi kuwa kwake hospitali inatuhusu nini? yaan nchi isimame kisa kuna mtu yupo hospitali?

Kumbukeni hiki cheo cha Ukurugenzi wa halmashauri ni cha kuteuliwa siyo kuajiliwa, kwa hiyo aliyekuteuwa akiamka akaambiwa kwamba Fulani ni jipu hawezi kusubiria, ni hapo hapo.

Wale wa Ukawa mmekuwa kama fuko sasa, yaan hamjui mnasimamia nini? mnyika alisimama bungeni mwaka jana akasema "Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa JK., CCM na Bunge"...sasa amekuja mtu mwenye tiba kamili mnalalamika tena? sasa ndiyo nini hii? afu hamjui kwamba wananchi wengi tunamuunga mkono Rais? mm ni mpinzania ila namuunga mkono Rais.
Wapumbavu sana wapinzani, ningejua nisinge wasupport uchaguzi wa 2015. Acha ccm iendelee kuongoza nchi wapinzani hawana akili kabisaaaa hata wenje na sugu walipiga sana kelele kuhusu rais mkwere na serikali yake leo kapatikana mtu at least anayethubutu bado wanaleta maneno.
 
Hapa sijaelewa ulichopost mkuu!!!!!
 
Back
Top Bottom