Wakuu wa Mikoa acheni kampeni za tozo

Wakuu wa Mikoa acheni kampeni za tozo

ambiliki

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
80
Reaction score
46
Ukisikiliza kauli za wakuu wa mikowa ,wanatuambia kwamba tozo zimelete maendele,hii siyo kweli ila nikualalisha ubaya wao kuwa jambo jema ,Leo umeweka tozo kwenye miamala ya simu watu wameacha kutumia ,umekimbilia banka Nako watu watakimbia.

Swali langu ni kwamba kabla hamkufikiria kumuumiza mwannji ambaya kipato chake hakimyisho,nikweli mlikosa vyanzo vingine vya mapato.

Tuangalie bandari ,ni nchi ngapia kama tukiboresha badari peke yake watapitisha bizao zao hapa ,
Tuna ifanzi ngapai
Madini
Geasi
Usafiri wa angaa
Hivi ni vichache ,hebu kuweni na huruma na watanzania Hawa mnao waona kama hawaoni taifa hili,umeweka tozo Kwa muda gani ,hayo majengo unajenga Kwa muda gani ,watanzania tunaona na tunajuwa ,msituchukulie kama watanzania wa mwaka 59.

Mtu mmoja anasema watanzania wamekubali umeongea na mtanzia yupi,hao mnao sema tumewatuma walipita bila kupingwa nani amewatuma ,au wanachumia matumbo Yao kama walivyo pita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom