critica junior
Member
- Sep 7, 2014
- 75
- 24
Acha hizo kaka dogo anataka ushauri we unaleta masihala,,,,,ningekuwa ni mimi nifiche ili iweje sasa.....?Mdogo wako au wewe...kuwa wazi tu
anhaa usijaliAcha hizo kaka dogo anataka ushauri we unaleta masihala,,,,,ningekuwa ni mimi nifiche ili iweje sasa.....?
nlijua una busara kumbe na wewe kubwa jingaNina wasiwasi ushauri unahitaji wewe, kuwa muwazi kijana usihofie kuumbuka.
....eti dogo anaomba ushaur,acha hizo.
ungekaa kimya ingekuwa bora zaidi coz mimi ningetaka ushauri kwako ningekufata inbox. Naomba kama umekosa cha kushauri wenye busara waachie uwanja.......nilikuwa nakuheshimu sana nikiamini na wewe unahekima kumbe co kila aliye humu ni mjanja wengine ni mapunga.Swaynnlijua una busara kumbe na wewe kubwa jinga