Wakuu tushirikiane

Wakuu tushirikiane

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Jaman habar zenu mimi ni fundi wa computa lakn ktk sekta yng nakutana na changamoto mbalimbali ktk kaz yng.mambo yanabadlka kutokana na technology kubadlka naomba tushirikiane na wnzg ktk sekta ili kujifunza kutoka kwao na wao kutoka kwng na ata pale tunapokwama ktk kaz tuweze kupeana msaada wa kimawazo kuusu nn kifanyike napendekeza kutumia mitandao ya kjamii kama fb na hata whats app kuunda grp ambalo tutakuwa tukishirikiana pamoja.
mawasiliano zaid
0715 586 612
muggyen@yahoo.com

Nitashukuru kama mtakubaliana na wazo langu
 
wakuu ingekuwa vizur kama mnapojibu mnataja na contacts zenu
 
Kwa wale wa whats app tayar nshaweka grp lakn kwa wale wa fb itabd mxubr kdogo
 
Maana sa iv nna kaz ofcn kwangu
 
Hivi kwa nini hii fani yetu ya ICT haina umoja wala Bodi za Kuregulate kwa hapa Bongo ?

Nchi nyingi za Ulaya zina umoja na jinsi ya Kuregulate na hii inasaidia sana kulinda fani na kuhakikisha sio hata Vishoka na wenyewe wanajifanya wamo.

Pia kwanini kama Tz tusiwe na Kitu kama CPA au NBAA au ile ya Madaktari, itakayo weza kusajili na kutoa licence kwa watu na uwezo kwenye fani hii ya ICT ?
 
wakuu ingekuwa vizur kama mnapojibu mnataja na contacts zenu

.
Here
.
d3ng3roushack3r@gmail.com
.
Facebook = Անուն Չեղարկել
.
Whatsapp
.
+255755574285
.
 
Back
Top Bottom