Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa ahsante nashukuru kwa ushauri mzuriSio njia sahihi yaku solve changamoto.
Ndio mkuu ni changamoto mnoVyuo vya serikali wako slow sana kusolve matizo kama haya,
Sawa kabisaJirushe mdogo wangu
SawaMkuu wako wa chuo yupo hapa jf, kishasoma hii mbinu yako.....utatimuliwa kijana.
Hujui kitu mkuu kaa kimya acha ujuajisheria zenu za vyuon zinawatak mfanye registration wiki sita za mwanzo mnapuuzia sasahiv mwishon huku mnakuja kuteseka na kutaka watu wazime moto. Timiza wajibu wako upate haki yako.
Clean cut, you die man should die.Wakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo
Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu.
Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe kuonana na mkuu wa chuo.
Wakuu hiyo njia inaweza kuwa sawa au itacost?
HII NI ARDHI UNIVAAAAAAAWakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo
Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu.
Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe kuonana na mkuu wa chuo.
Wakuu hiyo njia inaweza kuwa sawa au itacost?
Em fatilia tena.Wakuu nasoma chuo X hapa dar