Mnyama kaliwa na Alshabab kidogo apate kipigo pale zenji, chezea kcc weye? Wale hawaongwi na vijisenti.pole yao na Jangwani ashashuka head coach from Holand kwa van perse
Mnyama alikuwa anamtaka yanga kukosekana kwake kumeifanya mechi isiwe muhimu sana,wao wamekimbilha Turkey, naskia wamepeleka unga wa ngano unaotengeneyewa chapati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.