Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Mkuu unawezaje kupokea Pesa zote hizo kwa mtoto, alafu pasipo kumuuliza chochote kuhusu hizo pesa kuwa ni za Uturuki au Urusi mpaka uje utuulize sisi?,
Mm kutoka na juwa Ni mturuki sikuona shida Moja kwa moja nikapokeaa nikatia katk mfuko wa shati sas nimetulia ndio nawaza Kia's gani hiki na je napata wapi bank inayo trade na pesa za kituruki sas watu Happ wanasema Ni za mrusi
 
Back
Top Bottom