Wakuu nauza UNGA wa uji lishe

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari
Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia
UNGA huu unatumiwa na watu wa rika zote kuanzia watoto wadogo Hadi watu wazima
Lakini pia una faida Kwa wale ambao wanaumwa magonjwa yasiyoambukiza na pia mama wajawazito
Napatikana dar es salaam Kwa mikoani tunaagiza kuanzia kilo Tano
# kilo inauzwa 5000/-
# nusu kilo 2500/-
# Kwa dar ukiagiza unaletewa kuanzia kilo Moja
# mawaailiano 0686153806

 

Attachments

  • IMG_20250723_144251_495.jpg
    441.7 KB · Views: 29
  • IMG_20250723_144252_836.jpg
    421.8 KB · Views: 29
  • IMG_20250723_144245_091.jpg
    463.8 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…