damon dash
Member
- Aug 27, 2016
- 20
- 4
Nauza huawei p8 pia mwenye kufanya exchange anakaribishwa
240...punguzo lipobei gan kaka
[HASHTAG]#0657405754[/HASHTAG]KUNA 200,000 NJOO PM
kaka naomba Pixha plizz 0653325710240,..ila punguzo lipo karibu
Nauza huawei p8 pia mwenye kufanya exchange anakaribishwa
Tatizo lake ni crake tu,..ila inapiga kazi kama kawa,,,,ni p8P8 au P8 Lite?
Ina tatizo gani?