Nimeanza kuugua tarahe 14/01/13,baada ya kusikia maumivu makali ya kichwa,mafua makali pamoja na kukohoa kwa hapa na pale,siku inafuatia nikaenda kupima malaria nikaambia iko 2,nikachukua dawa mseto nimemeza iyo dozi leo ndio ninamalizia,ila tatizo ni homa za mara kwa mara ambazo huwa ni kali sana,kuna wakati mchana nasikia baridi sana wakati mwili unajoti kali,imagine npo sinza huku nazima feni najifunika na bado natetemeka,hivyo hivyo na wakati wa usiku kuna muda homa inakua kali mno mpaka naona km hizi dawa hazinisaidii au labda kuna ugonjwa naumwa zaidi ya malaria,naomba nisaidiwe jamani nifanye nini?nikapime tena magonjwa mengine au?
Jibu ni hiyo au.
Usiogope,homa kama yko imeniisha juz tu hapa,kunywa maji mengi pia kula machungwa utapona ndg yng.usisahau pain killers.
Nimeanza kuugua tarahe 14/01/13,baada ya kusikia maumivu makali ya kichwa,mafua makali pamoja na kukohoa kwa hapa na pale,siku inafuatia nikaenda kupima malaria nikaambia iko 2,nikachukua dawa mseto nimemeza iyo dozi leo ndio ninamalizia,ila tatizo ni homa za mara kwa mara ambazo huwa ni kali sana,kuna wakati mchana nasikia baridi sana wakati mwili unajoti kali,imagine npo sinza huku nazima feni najifunika na bado natetemeka,hivyo hivyo na wakati wa usiku kuna muda homa inakua kali mno mpaka naona km hizi dawa hazinisaidii au labda kuna ugonjwa naumwa zaidi ya malaria,naomba nisaidiwe jamani nifanye nini?nikapime tena magonjwa mengine au?
Jibu ni hiyo au.
Akili za <18,burudani sana.
Mkuu kibol mimi ninakupa Dawa ya kutibu Malaria sugu uliyokuwa nayo tumia kisha unipe feedback:
Dawa ya kutibu Malaria.
Katakata Vitunguu saumu sawasawa. Meza kijiko kimoja cha vitunguu hivi mara tatu kwa
Siku na kunywa lita 2 za limao glasi ya chai kwa siku. Endelea na tiba hii kwa siku 5.

Nimeanza kuugua tarahe 14/01/13,baada ya kusikia maumivu makali ya kichwa,mafua makali pamoja na kukohoa kwa hapa na pale,siku inafuatia nikaenda kupima malaria nikaambia iko 2,nikachukua dawa mseto nimemeza iyo dozi leo ndio ninamalizia,ila tatizo ni homa za mara kwa mara ambazo huwa ni kali sana,kuna wakati mchana nasikia baridi sana wakati mwili unajoti kali....
Mkuu Samaritan ukisha tumia hiyo inakutibu na kuuwa wadudu wa ugonjwa wa malaria unakuwa huna tena Malaria.Mkuu, kutokana na kuibuka kwa dawa nyingi za malaria (za hospitali) imekua ngumu sana mtu kujua ni dawa ipi hasa inafanya kazi vizuri na haina madhara mengine ambatanishi. Nimeipenda hii, sidhani kama itakuwa na side effect.
Naomba ufafanuzi wa yafuatayo kuhusu hii dawa mkuu:-
- Hapo kwenye red sijakupata vizuri, lita 2 za limao glasi ya chai kwa siku. lita 2 za maji?
- Hii inaweza kutumika kama kinga au ni kwa ajili ya kutibu tu.
Nashukuru sana mkuu. Ubarikiwe