Wakuu naomba kuuliza

buthabutha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
659
396
Hivi inawezekana chadema wakabadili mwenyekiti??

Mbona mkuu ni yeye tu?

Naomba michango yenu kwa watu wa vyama vyote vya upinzani

Najua wengine watakuja kwa post kama za mamwanasiasa mafelia plz leta hija tu ya kujuzana mambo kama kweli sie ni watanzania na watu tunaolilia demokrasia ya kweli

Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom